Friday, August 5, 2011

FASHION JUNKIES ...

     
hello guyz!...
2day wan talk bty fashion 4 galz,hair style,shoes n'dress...katika  fashion lazima galz  mjue kupangilia mavazi kulingana na mahali husika.Lem start c SHOES,kuna dizain tofautitofaza za viatu vya galz lyk flat shoes,sandoz,high hilz,many galz nwdaiz wanapenda kuvaa high hillz cz ipo kwenye fashion xo smtmz unakuta m2 amevaa kiatu ambacho hakiendani na kivazi alicho vaa  kibongobongo 2naxema AMEBUGI..Lazima  m2 ujue kupangilia mavazi na via2..
pia galz inabidi m2 ujue kuchagua hair style inayoendana na kicwha n sura yako..nat all hair style zitakupendeza ...
Fashion or urembo unajumuisha mambo mengi sana kwa galz....ili gal uonekane smart lazima ujue kujipangilia hata hand bag.. 

pia katika hand bag inategemea na sehemu unayoenda...if u wan go out 4 Evening u shldt take PULSE

No comments:

Post a Comment