Tuesday, April 3, 2012

WEMA AFUNGUKA KUHUSU KITENDO ALICHOFANYIWA

HEllow friendz  !hope mpo pouwa..mwanadada WEMa sepetu ameamua kufunguka kuhusu stori iliyopo mtaani kwa sasa kwa kitendo kilichotoke ijumaa kwenye shoo ya DAIMOND....jamani!me sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha DAIMOND alichokifanya kwa EX-gal wake..........guyzz hiyo cio poa kabitha,hata kama mtu mliachana sio sababu ya kudhalilishana hivyoo...wema ni demu poa sana dats y hakuona vibaya kwenda kwenye hiyo shoo bahati mbaya yakatokea hayooo yaliyojiriii..Kwa upande wake anakwambia alienda kama shabiki tu na wala ci vingine n alishangazwa na kilichotokea
Mapenzi matamu mwanzo bt watu wakivurugana mambo hubadilika........Enzi zao hizoo DAIMOND alikua anaona UTAMMMMMMMMMMmmmmm kupanda kwa stag na mtoto mzuri bt cha kushangaza nw hataki hatakumcikia......USIOMBE MAPENZI YAKUPIGE TEKE WEEEEEE INAUM............................

No comments:

Post a Comment